- Msamaa.
Headlines News :
Home » »

Written By Unknown on Friday, May 3, 2013 | 1:35 PM

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WA KATAVI, GEITA, SIMIYU NA NJOMBE

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABAR
          Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wafuatao kuwa Wakuu wa Mikoa.
          Dkt. Rajab Mtumwa RUTENGWE ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa KATAVI.  Kabla ya hapo Dkt. Rutengwe alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpanda.
Ndugu Magalula Saidi MAGALULA ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa GEITA.  Kabla ya hapo Ndugu MAGALULA alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi.
          Ndugu Paschal Kulwa MABITI ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa SIMIYU.  Kabla ya hapo Ndugu MABITI alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Singida.
Kapt. Asery MSANGI ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa NJOMBE.  Kabla ya hapo Kapt. MSANGI alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa.
Uteuzi huu unaanza tarehe 15 Machi, 2012.  Wataapishwa Ikulu, Dar es Salaam, Jumatano tarehe 21 Machi, 2012 saa 04:00 asubuhi.
Mwisho.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.

15 Machi, 2012

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

ZILIZOSOMWA SANA.

Followers

Blog Archive

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Msamaa. - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template