UTEUZI WA MKURUGENZI MTENDAJI TASAF. - Msamaa.
Headlines News :
Home » » UTEUZI WA MKURUGENZI MTENDAJI TASAF.

UTEUZI WA MKURUGENZI MTENDAJI TASAF.

Written By Unknown on Saturday, April 20, 2013 | 12:10 AM

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: UTEUZI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bwana LADISLAUS J. MWAMANGA kuwa MKURUGENZI MTENDAJI WA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF).
Kabla ya hapo Bwana Mwamanga alikuwa Meneja wa Mifumo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF.
Uteuzi huu unaanzia tarehe 1 Novemba, 2011.
Peter A. Ilomo
Kny: KATIBU MKUU, IKULU
IKULU,
DAR ES SALAAM.
31 Oktoba, 2011
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

ZILIZOSOMWA SANA.

Followers

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Msamaa. - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template