- Kitoloho
Headlines News :
Home » »

Written By Msamaa on Monday, June 10, 2013 | 10:55 PM










BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI  TANZANIA
(TEC)



MPANGO WA KUHAMASISHA
HUDUMA YA KIUCHUNGAJI KATIKA JAMII
KUELEKIA UCHAGUZI MKUU 2010
KWA MAASKOFU, MAPADRI NA WACHUNGAJI TU.



IDARA YAKUCHUNGAJI TUME YA HAKINA AMANI TEC
MPANGO WA KUHAMIASISHA HUDUMA YA KIUCHUNGAJI KATKA JAMII KUELEKEA UCHAGUZI  MKUU 2010.




DIRA
Mungu anakuita , anakuhutaji.
Dunia imeumbwa na Mungu ili iendelee kuwa mahala panaporidhisha ulfame wake .Ukuu wa uumbaji ni mwanadamu ambaye ndiye kiumbe aliye kirimiwa utashi  na uelewa ili awe mshiriki na mdhamini wa kazi ya Mungu.
Mungu ametuchagua tuchukue wajibu huu na pamoja naye tupunguze uovu na taabu na kujenga dunia ambamo upendo na maelewano vinamhakikishia kila mmoja kufurahia utu wake
Kama wakristo tunapokea mwaliko wa kristu uwe mwako wetu.
“Roho wa bwana yu juu yangu, kwamaana amenitia mafuta kuwahuburi maisha habari njema”
Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao,na vipofu kupata kuona tena kuachwa huru waliteswa na kutangazwa mwaka wa bwana uliokubaliwa” (4:18-19) kwa kutilia mkazo waraka huu wa pili wakristo wote tunapokea mwaliko wa kristu uwe mwaliko wetu.

Roho wa Bwana yu juu yetu kwa maana ametutia mafuta kuwahubiria maskini habari njema ametutuma kuwatambua macho na kiza kinene  kilokuwepo, Waliomuamini  Yesu Kristo kuwa Bwana kweli ,Wito kwa Maaskofu Tanzania na Wachungaji wote Tanzania bila kujali  dhehebu lako fikisha mwaliko huu kwa waumini  wako.
Kwa kuwa  tunaelezwa  kuwa  mwana wa  mtu atakaporudi  atayahukumu mataifa kwa kigezo cha huduma tuliyotoa kwenye njaa, kiu ,wageni , nchi wagonjwa na wale walio kifungoni ( REJ.MT.25:46).

Programu yetu ya kulihamasisha  kanisa kutekeleza  wito wa kichungaji katika mambo ya kijamiii na kuwatia moyo  waumini  wote kutambua na kukubali wito wao wa kristo  wito wa kupelekea watu  habari ya Yesu katika mambo  ya kijamii na ya kitaifa.
Kufanya nchi yetu na watu wetu kuishi pamoja huku manufaa ya kila mmoja yakiwa yanatazamwa kupata huduma za msingi za maisha na kuheshimiwa utu wa kila mmoja.
Hapa maslahi na manufaa ya wote na ya kila mmoja katika jamii yanapaswa kuzingatiwa huu ni wajibu wa kila mkristo .

Mungu anakuhitaji haya si maneno yetu bali ni uamuzi  wa makusudi wa Mungu ana kukabidhi wajibu  huu.
Kupokea mwaliko huu unatokea kwa Mungu na kushindwa kutotimiza wajibu  wa kufanya hivyo ni dhambi ya kutotimiza wajibu wa wito wetu wa kristo.
Wito wa kutimiza  wajibu  wa kijamii ambao ni kutia chachu ya tunu za injili mafundisho ya kristo katika maswala ya kijamii, Kiuchumi ya Taifa letu.
Wito huu kwa mara ya kwanza haujaeleweka vema katika jumuia mbalimbali  katika  madhehebu za kikristo .

Watu wengi wanadhani ni kwamba mambo ya umma sio sehemu  ya majukumu yetu yakidini  na kiimani na hivyo kanisa halipaswi kujishughulisha  na mambo haya .
Kinyume chake  kristo anatualika kuleta mafundisho ya Mungu,Madili ya asili yetu ya kibinadamu kama tulivyoumbwa na Mungu .


Tunaalikwa kuyafanya haya yawe ndio msingi  na mwanga unaongoza maamuzi na sera zetu zitakazo endelezwa duniani kote hasa katika  nchi yetu ya Tanzania. Kanisa  liendelee kushika hatamu ya Uongozi.Tusiruhusu nchi hii mwanya  kwa dini yoyote ile kushika hatamu za uongozi na kanisa kubaki nyuma  na kuwa kanisa halina sauti.
 
Mambo haya yalijitokeza kwa awamu ya pili Awamu ya tatu tuliweza kudhibiti na kurudisha  heshima kidogo lakini  awamu hii yanne udhalishaji wa kanisa umekuwa kwa kiwango kikubwa.
Nyinyi wote wachungaji mmekuwa mashahidi kwa serikali kupitia chama chake cha (CCM) Kwa ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2005 ya kutaka kuidhinisha Mahakama ya Kadhi nchini.
Swala la mahakama ya kadhi na kujiung na OIC  yalikataliwa na kanisa  lilisisitizwa hapo awali kwa kuwa kanisa lilieleza madhara yatakayotokea kwa vyombo hivyo .lakini serikali ya awamu ya nne imepuuza kauli ya kanisa.

Kuna hili tatizo sugu la ufisadi kama kanisa  litakuwa kimya bila yakudhibiti basi kanisa litachafuliwa kwa njia moja  au nyingine , ikumbukwe kuwa  tatizo hili ni doa kubwa kwa kanisa kwa kuwa mafisadi wengi waliotajwa ni wakristo hivyo jamii ikibaini hili basi kanisa litashushiwa heshima yake  na mafisadi wote ni CCM ,kwa hali hiyo kuendelea kuikumbatia CCM ni hatari kubwa kwa kanisa.

Vilivile ikumbukwe kwa sasa kanisa halina manufaa kwa serikali hii kwa mfano mdogo angalieni hata hili la msamaha wa ushuru  wa  kodi kwa kanisa,Serikali hii ya CCM lilitaka kulifutia msamaha wa kodi

Maswala haya yote kanisa halitoweza kuvumilia kuna haja za makusudi kukabiliana na serikali hii ya CCM katika chaguzi zijazo.
Muelikeo wa kanisa kwa sasa ni kuelekeza  nguvu zetu kwa Wakristo wote wa Tanzania kwa chama chetu cha chadema katika uchaguzi ujao maandalizi yote yamekamilika tumekutana na viongozi wote temetengeneza mtandao mzuri na tumeshapanga mikakati endelevu na sasa kazi  iliyobaki ni kuhamasisha wakristo wote kupigia kura chama cha chadema ili maslahi ya kanisa  yarudi kama zamani



Wito unaotolewa kwa maaskofu , Mapadri na wachungaji kwamba waraka huu unakuwa siri kwako na unatakiwa kufuata maelekezo yafuatayo;-
1.       Unatikiwa kuleta mafundisho ya uelekeo wa kanisa kuanzia utakapopata waraka huu
2.        Unatikiwa kuunda kikosikazi kitakacho saidiana na wewe kuhamasisha kwa waumini wako
3.        Unatakiwa kuimarisha jumuia  kanisani kwako ili  ziwe kichocheo katika jamii zinazo wazunguka.
4.        Inatakiwa kuandaa takwimu kwa waumini  wako wote na jamii unauyoiona inamueleko wa kutuuunga mkono.
5.       Unatakiwa kutengeneza bajeti unayoiona itakidhi mahitaji ya shughuili hii  kwa upande wako na kuiwasilisha pale utakapotakiwa kuwasilisha.

Muongozo wa kanisa kwa  Maaskofu, Mpadri ,Wachungaji na watimishi wote wa kanisa bila kujali madhehebu  gani , Tuhakikishe  tunakusanya kadi  zote za CCM,CUF ikibidi hata vyama vingine vya siasa kwa kufanya hivyo itakukwa timefanikiwa kuondoa mwanya wa kujipenyeza chama chochote katika kanisa.
 Vyama  vya CCM na CUF kwa  sasa  ni mithili ya mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo.
Ieleweke  mahakama ya Kadhi na kujiunga kwa OIC  ni ushindi mkubwa waislamu na pigo kubwa  kwa Ukristo.
Ninyi wote ni mashuhuda mkiitwa makafiri je wa kiongozewa nguvu mtaitwa nani?
Kanisa linatakiwa  kusimamia kidete wakristo wote katika elimu ,Uchumi ili tuweze kuongoza nchi hii.
MWISHO:
 KWA MAASKOFU MAPDRE NA WACHUNGAJI KAMATI ILIVYOKUW A SIRI  YA KIUTUMUSHI KUBAKI KATIKA  VYUMA VYA KANISA.BASI WARAKA  HUU UBAKI KUWA SIRI YA KANISA KWAMANUFAA YETU WAKRISTO WOTE.
Hairuhusiwi kwa mtu  mwingine kupewa waraka huu zaidi ya Maaskofu, Mapdre wachungaji tu asipewe muumini yoyote.
 Source:xa.yimg.com/.../BARAZA+LA+MAASKOFU+KATOLIKI+TANZANIA....
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

ZILIZOSOMWA SANA.

Followers

Blog Archive

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Kitoloho - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template