UNITED
REPUBLIC OF
TANZANIA
DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Fax:
255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX
9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: UTEUZI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA MFUKO WA
MAENDELEO YA JAMII (TASAF)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bwana LADISLAUS J. MWAMANGA kuwa MKURUGENZI MTENDAJI
WA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF).
Kabla
ya hapo Bwana Mwamanga alikuwa Meneja wa
Mifumo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
TASAF.
Uteuzi huu
unaanzia tarehe 1 Novemba,
2011.
Peter
A. Ilomo
Kny: KATIBU MKUU,
IKULU
IKULU,
DAR
ES SALAAM.
31
Oktoba, 2011
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !