BARAZA
LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA
(TEC)
MPANGO
WA KUHAMASISHA
HUDUMA
YA KIUCHUNGAJI KATIKA JAMII
KUELEKIA
UCHAGUZI MKUU 2010
KWA
MAASKOFU, MAPADRI NA WACHUNGAJI TU.
IDARA YAKUCHUNGAJI TUME YA HAKINA
AMANI TEC
MPANGO
WA KUHAMIASISHA HUDUMA YA KIUCHUNGAJI KATKA JAMII KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
2010.
DIRA
Mungu anakuita , anakuhutaji.
Dunia imeumbwa na
Mungu ili iendelee kuwa mahala panaporidhisha ulfame wake .Ukuu wa uumbaji ni
mwanadamu ambaye ndiye kiumbe aliye kirimiwa utashi na uelewa ili awe mshiriki na mdhamini wa kazi
ya Mungu.
Mungu ametuchagua
tuchukue wajibu huu na pamoja naye tupunguze uovu na taabu na kujenga dunia ambamo
upendo na maelewano vinamhakikishia kila mmoja kufurahia utu wake
Kama wakristo tunapokea mwaliko wa kristu uwe mwako wetu.
“Roho wa bwana yu juu
yangu, kwamaana amenitia mafuta kuwahuburi maisha habari njema”
Amenituma kuwatangazia
wafungwa kufunguliwa kwao,na vipofu kupata kuona tena kuachwa huru waliteswa na
kutangazwa mwaka wa bwana uliokubaliwa” (4:18-19) kwa kutilia mkazo waraka huu
wa pili wakristo wote tunapokea mwaliko wa kristu uwe mwaliko wetu.
Roho wa Bwana yu juu yetu kwa maana ametutia mafuta kuwahubiria
maskini habari njema ametutuma kuwatambua macho na kiza kinene kilokuwepo, Waliomuamini Yesu Kristo kuwa Bwana kweli ,Wito kwa
Maaskofu Tanzania na Wachungaji wote Tanzania bila kujali dhehebu lako fikisha mwaliko huu kwa waumini wako.
Kwa kuwa tunaelezwa kuwa mwana
wa mtu atakaporudi atayahukumu mataifa kwa kigezo cha huduma
tuliyotoa kwenye njaa, kiu ,wageni , nchi wagonjwa na wale walio kifungoni (
REJ.MT.25:46).
Kufanya nchi yetu na
watu wetu kuishi pamoja huku manufaa ya kila mmoja yakiwa yanatazamwa kupata
huduma za msingi za maisha na kuheshimiwa utu wa kila mmoja.
Hapa maslahi na manufaa ya wote na ya kila mmoja katika
jamii yanapaswa kuzingatiwa huu ni wajibu wa kila mkristo .
Mungu anakuhitaji
haya si maneno yetu bali ni uamuzi wa
makusudi wa Mungu ana kukabidhi wajibu
huu.
Kupokea mwaliko huu unatokea kwa Mungu na kushindwa
kutotimiza wajibu wa kufanya hivyo ni
dhambi ya kutotimiza wajibu wa wito wetu wa kristo.
Wito wa kutimiza
wajibu wa kijamii ambao ni kutia
chachu ya tunu za injili mafundisho ya kristo katika maswala ya kijamii,
Kiuchumi ya Taifa letu.
Wito huu kwa mara ya kwanza haujaeleweka vema katika jumuia
mbalimbali katika madhehebu za kikristo .
Kinyume chake kristo anatualika kuleta mafundisho ya
Mungu,Madili ya asili yetu ya kibinadamu kama tulivyoumbwa na Mungu .
Tunaalikwa kuyafanya
haya yawe ndio msingi na mwanga unaongoza
maamuzi na sera zetu zitakazo endelezwa duniani kote hasa katika nchi yetu ya Tanzania. Kanisa liendelee kushika hatamu ya Uongozi.Tusiruhusu
nchi hii mwanya kwa dini yoyote ile kushika
hatamu za uongozi na kanisa kubaki nyuma
na kuwa kanisa halina sauti.
Mambo haya yalijitokeza
kwa awamu ya pili Awamu ya tatu tuliweza kudhibiti na kurudisha heshima kidogo lakini awamu hii yanne udhalishaji wa kanisa umekuwa
kwa kiwango kikubwa.
Nyinyi wote wachungaji mmekuwa mashahidi kwa
serikali kupitia chama chake cha (CCM) Kwa ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2005
ya kutaka kuidhinisha Mahakama ya Kadhi nchini.
Swala la mahakama ya kadhi na
kujiung na OIC yalikataliwa na
kanisa lilisisitizwa hapo awali kwa kuwa
kanisa lilieleza madhara yatakayotokea kwa vyombo hivyo .lakini serikali ya awamu
ya nne imepuuza kauli ya kanisa.
Kuna hili tatizo sugu la ufisadi kama kanisa litakuwa kimya bila yakudhibiti basi kanisa
litachafuliwa kwa njia moja au nyingine
, ikumbukwe kuwa tatizo hili ni doa kubwa
kwa kanisa kwa kuwa mafisadi wengi waliotajwa ni wakristo hivyo jamii ikibaini
hili basi kanisa litashushiwa heshima
yake na mafisadi wote ni CCM ,kwa hali
hiyo kuendelea kuikumbatia CCM ni hatari kubwa kwa kanisa.
Maswala haya yote kanisa
halitoweza kuvumilia kuna haja za makusudi kukabiliana na serikali hii ya CCM
katika chaguzi zijazo.
Muelikeo wa kanisa kwa sasa ni kuelekeza nguvu zetu kwa Wakristo wote wa Tanzania kwa
chama chetu cha chadema katika uchaguzi ujao maandalizi yote yamekamilika tumekutana
na viongozi wote temetengeneza mtandao mzuri na tumeshapanga mikakati endelevu
na sasa kazi iliyobaki ni kuhamasisha
wakristo wote kupigia kura chama cha chadema ili maslahi ya kanisa yarudi kama zamani
Wito unaotolewa kwa maaskofu , Mapadri na wachungaji kwamba
waraka huu unakuwa siri kwako na unatakiwa kufuata maelekezo yafuatayo;-
1. Unatikiwa
kuleta mafundisho ya uelekeo wa kanisa kuanzia utakapopata waraka huu
2. Unatikiwa kuunda kikosikazi kitakacho saidiana
na wewe kuhamasisha kwa waumini wako
3. Unatakiwa kuimarisha jumuia kanisani kwako ili ziwe kichocheo katika jamii zinazo wazunguka.
4. Inatakiwa kuandaa takwimu kwa waumini wako wote na jamii unauyoiona inamueleko wa kutuuunga
mkono.
5. Unatakiwa
kutengeneza bajeti unayoiona itakidhi mahitaji ya shughuili hii kwa upande wako na kuiwasilisha pale utakapotakiwa
kuwasilisha.
Muongozo wa kanisa kwa
Maaskofu, Mpadri ,Wachungaji na watimishi wote wa kanisa bila kujali madhehebu gani , Tuhakikishe tunakusanya kadi zote za CCM,CUF ikibidi hata vyama vingine
vya siasa kwa kufanya hivyo itakukwa timefanikiwa kuondoa mwanya wa kujipenyeza
chama chochote katika kanisa.
Vyama vya CCM na CUF kwa sasa ni mithili ya mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya
kondoo.
Ieleweke mahakama ya Kadhi na kujiunga kwa OIC ni ushindi mkubwa waislamu na pigo kubwa kwa Ukristo.
Ninyi wote ni mashuhuda mkiitwa
makafiri je wa kiongozewa nguvu mtaitwa nani?
Kanisa linatakiwa kusimamia kidete wakristo wote katika elimu ,Uchumi
ili tuweze kuongoza nchi hii.
MWISHO:
KWA MAASKOFU MAPDRE
NA WACHUNGAJI KAMATI ILIVYOKUW A SIRI YA
KIUTUMUSHI KUBAKI KATIKA VYUMA VYA
KANISA.BASI WARAKA HUU UBAKI KUWA SIRI YA
KANISA KWAMANUFAA YETU WAKRISTO WOTE.
Hairuhusiwi kwa mtu
mwingine kupewa waraka huu zaidi ya Maaskofu, Mapdre wachungaji tu
asipewe muumini yoyote.
Source:xa.yimg.com/.../BARAZA+LA+MAASKOFU+KATOLIKI+TANZANIA....
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !