RAIS KIKWETE AWAAPISHA VIONGOZI WAANDAMIZI WA SERIKALI
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Alhamisi, Machi 11, 2010, amewaapisha maofisa watano waandamizi wa Serikali wa utumishi, akiwamo Balozi mmoja.
Katika shughuli FUPI iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, asubuhi, Mheshimiwa Rais amemwapisha Patrick L Tsere Balozi kuwa wa Tanzania katika Malawi.
Mheshimiwa Tsere amepata kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
Wengine waliopishwa na ni Mheshimiwa Rais Kikwete wa Maofisa Tawala Mikoa (RAS) tub ambao ni Bwana Salum Mohammed Chima, Rehema Seif Madeng Bi, Bi Theresa Louis Mmbando na Bwana Clement Francis Lujaji.
Bwana Chima anakuwa Ofisa Mtawala wa wa Rukwa Mkoa, Bi Madeng anakuwa Ofisa Mtawala Mkoa wa Dodoma, Bi Mmbando anakuwa Ofisa Mtawala Mkoa wa Tabora na Bwana Lujaji anakuwa Ofisa Mtawala Mkoa wa Mara.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
11 Machi, 2010
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !